KALELA YERUSALEM CHOIR_SI VYEMA

https://www.opendrive.com/download/NTNfNjI1NTQ1OF94UFNHOA?folder_id=NTNfNDAyNTU0X1dZSnVZ
  Ni waimbaji wa nyimbo za Injili toka Kalela  Anglican Church iliyoko mkoani Kigoma wilaya ya Kasulu. Kwaya hii inaitwa Kalela Yerusalem Choir (KYC).
Pakua wimbo hapo juu ili upate ujumbe wa  Mungu kupitia nyimbo za Injili.


HOLELA TV IS THE BEST OF THE BEST.
 +255766761820
  ramsoholela@gmail.com

Comments