Lugha ya alama ni lugha pekee ambayo hutumiwa na watoto ama watu wenye ulemavu wa kutokusikia .Lugha hii imeanzishwa na wenyewe katika kujua na kuitafuta mbinu ,na dhana stahiki ya kuwasiliana.
Funzo kuu hapa kwa wote no mhimu kujua thamani na kuwatunza watoto au wote wenye ulemavu wa viungo ,kwani wote no wanadamu tulioumbwa na MUNGU mmoja.
Comments
Post a Comment
Click here to Comment....